• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Ziara ya kamati ya fedha ,uongozi na mipango.

Imewekwa: July 24th, 2021

 Kamati ya kudumu ya Fedha, Uongozi na Mipango tarehe 22 - 23 Julai, 2021 imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo miradi ya Idara ya Afya, Elimu na Mifugo.

"Hakikisheni miradi yote inakamilika kwa wakati ili iweze kutoa huduma iliyokusudiwa."

Maagizo hayo ameyatoa Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Mhe. Yusuph Mohmed Yusuph Diwani wa Kata ya Bulangwa wakati wa ukaguzi wa miradi hiyo.

Naye Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Mhe.Leokadia kasase amezipongeza kamati za ujenzi kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo.

"kamati za ujenzi hongereni kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo kwa kufanya hivyo mmeifanya halmashauri ya Wilaya Bukombe kuwa ni Wilaya inayotekeleza miradi yake katika hali ya ubora.

Naye Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Ushirombo Peter James Matipa amesema kukamilika kwa vyumba viwili vya madarasa kwa shule yake kutasaidia uboreshaji wa mazingira bora ya kujifunzia na kifundishia, kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani pamoja na urahisishaji wa tendo zima la ufuatiliaji wa kitaaluma kwa wanafunzi.

Akisoma taarifa ya utekelezaji wa ukamilishaji wa mradi wa Maabara moja uliogharimu kiasi cha shilingi milioni 30 Mkuu wa shule ya sekondari Businda Yunia Bukurie amesema changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa mradi ni pamoja na kupanda kwa bei na kuadimika kwa vifaa vya ujenzi kama vile mbao kwa ajili ya kutengeneza samani na aluminiam kwa ajili ya madirisha.

Miradi iliyotembelewa ni ujenzi wa Zahanati ya Silamila, ukarabati wa Machinjio ya Katente, ujenzi wa Zahanati ya Bwenda, ujenzi wa choo matundu 12 shule ya msingi Mwenge, ujenzi wa madarasa 2 na matundu 12 ya choo shule ya msingi Katente, ukamilishaji wa madarasa 2 na matundu 12 ya choo shule ya msingi Ushirombo, ujenzi wa choo matundu 12 shule ya msingi Azimio, Ujenzi wa madarasa 2 na ukamilishaji wa Maabara 1 shule ya sekondari Businda, ujenzi wa matundu 12 ya choo shule ya msingi ushirombo na ujenzi wa jengo la Utawala na Madarasa shule ya Sekondari Doto Biteko.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa