• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC apiga Marufuku Wanafunzi kuingia kumbi za starehe

Imewekwa: September 3rd, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita, Said Nkumba amepiga marufuku wanafunzi kuingia kwenye kumbi za starehe ili kulinda maadili wanapo kuwa shuleni na kwenye jamii ikiwa shule ya sekondari Ushirombo ina  wanafunzi 1658 kati yao 14 wamesimamishwa masomo na uongozi wa shule hiyo kwa kosa la uvutaji wa madawa ya kulevya na kufanya uhalifu wakuteka wenzao huku wengine wakifanya biashara ya ngono.


Nkumba alitoa agizo hilo kwenye kikao cha wazazi na walezi wa shule ya sekondari Ushirombo baada ya Mwalimu wa nidhamu shule ya sekondari Ushirombo Happyness Charles kusema Ofisi yake kwa kufuata sheria na mioungozo ya shule wanafunzi 14 wamesimamishwa masomo kwa siku 21 tangu Agosti 11 na siku zinaisha wakati huu walikizo fupi hadi Sepetmba 16 shule ikifunguliwa bodi itakuwa imekaa na kuchukua maamzi stahiki kwa wanafunzi hawo.

Charles alisema kati ya wanafunzi waliosimamishwa 14 kati yao wavulana 12  msichana 1 kwa makosa mbali mbali likiwemo la kuvuta dawa za kulevya na msichana 1 amesimimishwa kwa kufanya biashara ya kujiuza mwili wake. 

 “Agizo la serikali ya Wilaya litasaidia wanafunzi kutopata vishawishi vya utumiaji madawa ya kulevya na mavazi yasiyo ya kimaadili kwa wasichana na wavulana hasa nguo za kubana (modo) na kwamba wanafunzi wengi wamekuwa wanaingia kwenye kumbi za starehe kwa ruhusa ya wazazi na walezi kwenda kudansi shoo kwenye kumbi za harusi” alisema Charles Kwa upande wake Afisa Elimu Sekondari Wilaya ya Bukombe Philibert Nyangahondi aliwaomba wazazi na walezi kushirikiana na walimu kuwajengea uwezo wa kiutamaduni wa maadili mema na kuhakikisha wanafuatilia maenedeleo ya wanafunzi mashuleni.

 Nkumba aliagiza bodi ya shule kukaa kikao na kuhakiki upya majina ya wanafuzi septemba 10 ikiwa ni kabla ya likizo fupi kuisha na watakao bainika wanahatia  wafukuzwe shule.Nkumba akitoa angizo kwa Mkuu wa Polisi Wilaya Elisha Kusula kuhakikisha siku 30 anakamata wauzaji wa bangi, na wamiliki wa bar wanaotoa ajira kwa wanafunzi na kufanya dolia ya mara kwa mara.Nae Kusula alisema atatekeleza maagizo siku 30 ni nyingi atakuwa amesafisha mji wa Ushirombo. “situmi mtu”alisema Mkuu wa Polisi Wilaya.

Miongoni mwa wazazi waliokuwa wamehudhuria kikao hicho Scholastika  Zefania  alisema chanzo cha wanafunzi kujiingiza kwenye tabia ya uvutaji bangi na kujiuza chanzo ni wazazi hasa wa kiume wamekuwa wakitelekeza familia na kuazisha nyumba ndogo na mzingo kubaki kwa akina mama.


Mohamed Hames alisema chanzo cha madili kuporomoka ni wanawake wamekuwa wakivaa nguo zisizo na maadili na kusifiana mbele ya watoto wao hali ambayo inawaadhirili watoto kujiingiza kwenye tabia mbovu shuleni na jamii kwa ujumla.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa