• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Nkumba aishukuru Benki ya NMB

Imewekwa: August 29th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mhe.Said Nkumba ameishukuru Benki ya NMB kwa kutoa mabati 200 kwa ajili ya uezekaji wa madarasa mawili katika shule ya msingi Azimio, vitanda 5 vya kulalia wagonjwa, vitanda viwili vya kujifungulia akinamama, mashuka 20 pamoja na vifaa vya usafi katika kituo cha afya Ushirombo vyenye thamani ya shilingi milioni 10,000,000/=.

“Tunaishukuru Benki ya NMB kwa namna ambavyo imeweza kutimiza ahadi na imeendelea kuiunga mkono serikali na kuwashika mkono wananchi. kiujumla unaweza ukaomba usipewe, Sisi tumeomba na tumepewa, tunashukuru sana sana kwa msaada kubwa mliotupatia.”

Shukrani hizo amezitoa tarehe 28 Agosti, 2020 wakati  akikabidhiwa vifaa hivyo katika shule Msingi Azimio.

Meneja wa NMB kanda ya Magharibi Sospeter Magese amemtaka Mkurugenzi Mtendaji kuhakikisha anaendelea kuomba misaada katika Benki ya NMB hasa katika sekta ya elimu na afya.

”Mkurugenzi Mtendaji  endelea kuomba misaada hasa kwenye sekta ya elimu na afya  sisi tupo tayari kushiriki kwenye shughuli za maendeleo”

Magese amewaomba wananchi wa Wilaya ya Bukombe kuhakikisha wanaitumia Benki ya NMB ili iweze kuleta maendeleo makubwa ndani ya Wilaya.

Naye Makamu Mkuu wa Shule ya Msingi Azimio Adolf Shida ameishukuru benki ya NMB kwa kutatua changamoto ya mrundikano wa wanafunzi madarasani.

“Tunawashukuru sana wadau wetu wa maendeleo  kwa kutupatia jumla ya mabati 200. Msaada huu utatusaidia sana katika kupunguza changamoto ya mrundikano wa wanafunzi madarasani”

Aidha shija amewaomba wadau wengine wa maendeleo waige mfano wa NMB ili kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kuwaletea wananchi maendeleo.

Benki ya NMB ni mdau mzuri wa maendeleo kwani inahakikisha kila mwaka inatenga asilimia moja ya faida yake na kupeleka kwenye sekta ya elimu na afya.



Mkuu wa Wilaya ya Bukombe  Mhe. Said Nkumba akikabidhiwa vifaa vya usafi  vya kituo cha afya Ushirombo na Sospeter Magesse Meneja NMB kanda ya Magharibi.



.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe  Mhe. Said Nkumba akikabidhiwa mabati 200 ya shule ya msingi Azimio  na Sospeter Magesse Meneja NMB kanda ya Magharibi..




Mkuu wa Wilaya ya Bukombe  Mhe. Said Nkumba akikabidhiwa mashuka 20 ya kituo cha afya Ushirombo na Sospeter Magesse Meneja NMB kanda ya Magharibi.




Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa