• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Fedha za RBF kujenga njia za kuunganisha wodi

Imewekwa: July 13th, 2020

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Dionis Myinga amemtaka Dr. Range Nyamhanga kwa niaba ya Mganga mkuu wa Wilaya kuhakikisha  fedha za  Malipo kwa Ufanisi (RBF) zitakazoingia  kuanzia sasa zinatumika kumalizia ujenzi wa njia ya kupita  kuunganisha wodi na wodi ( Walkway) zilizobaki baada baadhi ya njia kujengwa na kukamilika.

“Mganga Mkuu hakikisha unatenga fedha za RBF kwa ajili ya kumalizia njia ya kuunganisha  Wodi ya Mama na Mtoto, Chumba cha Kuhifadhia Mahiti na Jengo la tiba na Matunzo”

Myinga ameyasema hayo alipofanya ziara ya kutembelea kituo hicho kwa ajili ya kukagua ujenzi wa njia pamoja na ujenzi wa Duka la dawa katika kituo cha afya Uyovu tarehe 13 Julai, 2020.

Aidha amemtaka Mhandisi wa Ujenzi Neema Makala kusimamia ujenzi wa Duka la dawa  kwa viwango vilichokusudiwa na kuhakikisha duka hilo linakamilika kwa wakati  ili wananchi waweze kupata huduma ya upatikanaji wa dawa kwa urahisi na kwa gharama nafuu.

Mhandisi wa Ujenzi Neema Makala amemuahidi Mkurugenzi Mtendaji kuwa miradi yote inayotekelezwa itakamilika kwa muda uliopangwa japokuwa wanakabiliwa  na changamoto ya  upungufu wa wataalamu katika Idara ya ujenzi.

Pia amewapongeza wasimamimizi wa miradi hiyo kwa kusimamiam vizuri miradi na kuhakikisha fedha za serikali zinatumika kwa lengo lililokusudiwa pamoja na kufuata miongozo iliyotolewa.      

Mpaka sasa jumla ya kiasi cha shilingi 41,000,000/= za mfuko wa Pamoja wa Afya HSBF) katika  kituo cha afya Uyovu  kwa ajili ya kuboresha huduma za afya Wilayani Bukombe zimetumika kujenga njia ya kuunganisha wodi ya wazazi,Wodi ya watoto, jengo la upasuaji na Maabara yenye urefu wa mita 139.4.

Hata hivyo Mkurugenzi Mtendaji alitembelea  na kukagua miradi mingine ikiwemo Ujenzi wa nyumba ya mtumishi  (two in one) katika Zahanati ya Ikuzi, Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi moja ya walimu katika shule ya Msingi Ikuzi, Ujenzi wa kituo cha afya Uyovu na ujenzi wa matundu 17 ya vyoo katika shule ya Msingi Nasiluluma.




Ujenzi wa njia ya kuunganisha wodi na wodi (Walkway) chenye urefu wa mita139.4 katika kituo cha Afya  Uyovu



Ujenzi wa Duka la dawa katika kituo cha Afya Uyovu kikiwa katika hatua ya Upauaji.



Ujenzi wa jengo la wagomjwa wa nje (OPD) katika  kituo cha Afya Namonge.



Ujenzi wa wodi ya wazazi katika kituo cha Afya Namonge.



Ujenzi wa matundu manne (04) ya vyoo katika kituo cha Afya Namonge.



Ujenzi wa matundu kumi na saba ya vyoo (17)katika Shule ya Msingi Nasiluluma.



Ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili (02) na ofisi moja (01) ya walimu katika shule ya msingi Ikuzi.



Ujenzi wa nyumba ya mtumishi (two in one) katika Zahanati ya Ikuzi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa