• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri kuanza ujenzi wa lami ya Rais Magufuli.

Imewekwa: September 2nd, 2019

Utekelezaji wa ujenzi wa barabara  ya kwanza ya  lami katika halmashauri ya wilaya ya Bukombe mkoani Geita, katika bajeti ya mwaka wa fedha 2019/20 itaanza utekelezaji ahadi ya Ras Dk John Magufuli aliyotowa mwaka 2015 wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu aliahidi kilomita tano za lami mjini Ushirombo serikali imesha toa Tsh milioni 500 ziko hatua ya ununuzi ili kuanza ujenzi wa kilomita moja ya barabara ya lami kati ya tano za Rais.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Dioniz Myinga aliyasema hayo kwenye ibada ya kuombea amani,uchaguzi wa serikali za mitaa,pamoja na kumpongeza Rais Dk John Magufuli kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi 16 za Kusini mwa Afrika (Sadec) katika la kanisa la Ufunuo mjini Ushirombo.

Alisema kwa sasa halmashauri inatekeleza mradi ujezi wa barabara ya lami kilomita moja  tangu Novemba 2018 ulitakiwa kukamilika Juni 26 mwaka 2019 lakini mkandarasi anasua sua pia kuna kilomita mbili zinatalajiwa kujengwa kwa lami serikali imetenga zaidi ya Tsh milioni 950 kufuatia hali hiyo mji wa Ushirombo utakuwa na barabara ya mtandao wa lami kiliomita nne zikiwemo za Rais Dk Magufuli itakuwa lami ya kwanza tangu 1995 Wilaya kuanzishwa.

 Pia kwa bajeti ya mwaka 2019/20  halimashauri imetenga sh 1.6 bilioni kwa ajiri ya ujenzi na ukarabati barabara kiwango cha changalawe  jumla na ukarabati urefu wa  kilomita 83.2 huku halmashauri ikiwa na mtandao wa barabara yenye urefu wa barabara kilomita 1400  serikali imeizinisha Tsh milioni 600.5 toka mfuko wa maendeleo ili kuanza ujezi na ukarabati wa barabara hizo za pembeni ya mji.

Askofu wa Kanisa la Ufunuo Jimbo la Geita Heryyabwana Majebele alisema serikali imefanya jambo jema kujenga lami mji wa ushirombo hali ambayo ni kuweka muonekano mzuri wa mji na kuwapunguzia changamoto ya vumbi wafanyabiashara wa vibanda kado ya barabara za mitaa hadi sitendi ya mabasi.

Mkazi wa mji wa Ushirombo Magret Paul alisema iwapo serikali itakamilisha barabara ya lami itawasaidia kuondoa changamoto ya vumbi zinazo sababishwa na boda boda na magari ya abiria hasa wajasiliamali walio kando ya barabara hapa Ushirombo.

Afisa Tawala Wilaya ya Bukombe Ally Mketo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba alitoa wito kwa wananchi kutunza miundo mbinu ya miradi inayo endela kutekelezwa na serikali.Wakati huo huo Mketo aliwaomba viongozi wa madhehebu ya dini kuhamasisha wananchi kuunda vikundi ili wanufaike na mkopo wa vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu.


Afisa Tawala Wilaya ya Bukombe Ally Mketo akizungumza na waumini wa Kanisa la Ufunuo Mjini Ushirombo.

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe Dioniz Myinga akizungumza na waumini wa Kanisa la Ufunuo Mjini Ushirombo.

Afisa Tawala Wilaya ya Bukombe Ally Mketo(mwenye tai),Katibu wa Mbunge Jimbo la Bukombe Benjamini Mgeta(mwenye kaunda suit) na Askofu wa Kanisa la Ufunuo Jimbo la Geita.


Meza Kuu



Kwaya ya Lango la Uzima wakitoa mahubiri kwa njia ya uimbaji




Huduma ya maombezi ikiendelea katika Kanisa la Ufunuo Mji wa Ushirombo


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa