• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mwenyekiti wa UVCCM amuanika MHE. Biteko

Imewekwa: September 13th, 2019

 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM Wilaya ya Bukombe Mkoani Geita, Nelvin Salabaga amempongeza Mbunge wa Jimbo hilo ambae pia ni Waziri wa Madini Mhe. Doto Mashaka Biteko kwa kutoa Mifuko 50 ya saruji yenye thamani ya Tsh milioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa choo cha wanafunzi shule ya msingi Nampangwe.



Salabaga aliyasema hayo wakati akizungmuza na wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm kata ya Runzewe Mashariki baada ya kupata taarifa za Mbunge huyo kutoka kwa Katibu wa Ccm Kata hiyo kuwa Mbunge anashiriki kikamilifu kwenye miradi ya maendeleo inayo anzishwa na wananchi na miradi mingine kuwezesha bila nguvu za wananchi.“Mhe. Biteko alitoa Tsh milioni 6 kujenga Zahanati ya Ikuzi, Tsh milioni 3 kwa ajili ya ukamilishaji wa madarasa shule ya Sekondari Msonga huku mifuko 100 ya saruji shule ya msingi Bulumbaga” Alisema Salabaga. 



Salabaga aliongeza kuwa Mbunge huyo ni kiongizi anae tambua uwajibikaji wa nafasi yake ya uwakilishi kwa wananchi na kutekeleza ilani ya ccm na kwamba amekuwa akijitoa michango mingi ya kuwaunga mkono wananchi wanaokuwa tayari kujiletea maendeleo. 

Kwa nyakati tofauti Salabaga akiwa kata ya Butinzya akiwa anazungumza kwenye Halmashauri Kuu ya Ccm Kata alikuta Mhe. Biteko amechagia Tsh milioni 5 shule ya msingi Mbula na mifuko 100 ya saruji kwa ajiri ya ukarabati wa madarasa 4 na ofisi ya utawala shule ya msingi Ngita huku katika shule ya msingi Mbula Mbuge alitoa Tsh milioni 4 .5 kwa ajili ya kupaua na kukamilisha majengo ya shule hiyo. 

Salabaga aliendelea kumwaga sifa za Mbunge huyo kuwa katika ukamilishaji wa madarasa shule ya msingi Isemabuna Mhe. Biteko alichangia Tsh milioni 2.5 huku Zahanati ya Butinza alitoa mifuko 100 ya saruji ili kuunga mkono nguvu za wananchi na Kijiji cha Silamila kwenye ujenzi Zahanati amechangia Tsh milioni 3.

Mbunge Biteko akizungumuza na blog ya Bukombesasa  kwa njia ya simu akiwa Dodoma Bungeni Mhe. Biteko alisema lengo lake la kuunga mkono nguvu za wananchi ni kuwa na dira ya kuibadilisha Bukombe. Biteko aliongeza kuwa atahakikisha anaendelea kuwaunga mkono viongozi wa serikali kuanzia ngazi ya chini wa nao hamasisha miradi ya maendeleo ili kuleta mabadiliko ya kimaendeleo Wilayani Bukombe.



Diwani wa Kata ya Butinzya Mhe. Amos Shimo akizungumuza yake toka moyoni alimpongeza Mbunge Biteko kwa kumpa kilomita nyingi za kufungua barabara mpya za kuunganisha Kijiji cha Butinzya,Mubula hadi  Igwamanoni na Butinzya,Ngita, hadi Kata ya Ng’anzo. Shimo alisema nguvu za Mbunge  Biteko ameziona pia kwenye kukamilisha kwa kupaua maboma yote ya madara ya shule ya msingi na sekondari yaliyokuwa yamekwa kwa muda mrefu hapo Katani.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa