• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali yaagiza shughuli za Mgodi wa Ikuzi kusimamiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

Imewekwa: May 10th, 2019





Naibu Waziri wa Madini  Stanslaus Nyongo akizungumza na wachimbaji wadogo wadogo wa mgodi wa ikuzi Wilayani Bukombe



Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akimhakikishia naibu waziri wa madini kutekeleza maagizo ya serikali aliyotoa kwa wanaushirika.


Serikali imeagiza shughuri za uendeshaji wa mgodi uliokuwa unasimamiwa na wanaushirika Kijiji cha Ikuzi Kata ya Runzewe Mashariki Wilaya ya Bukombe Mkoa wa Geita kuanza kusimamiwa na halmshauri ya Wilaya ya Bukombe hadi watakapo maliza migogoro yao na kupewa leseni ya uchimbaji.Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo  tarehe 10 Mei, 2019 alipoenda kuutembea mgodi huo. 

Pia Nyongo amemuangiza Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba na Mkurungezi Mtendaji wa Halmshauri Dionis Myinga kuhakikisha wanasimamia mgodi wa Ikuzi ili serikali isipoteze mapato na wachimbaji wadogo wadogo  wanufaike kwa kutozwa asilimia ndogo ya tozo. 

Nyongo alisema "mgodi wa Ikuzi kutokana na migogoro iliyopo ya wachimbaji wadodo wadogo kulalamikia uongozi wa Chama cha ushirika kwa kutokutenda  haki mgodi ulitakiwa kufungwa"

Kwa  upande wa wanaushirika Shija Ramadhan na Switibert Robart walimshukru Naibu Waziri wa Madini kwa uamuzi huo kwani tangu ushirika uundwe hawajawahi kukaa kikao chochote wala kuhusishwa juu ya mapato ya mgodi na kujua maslahi ya wanaushirika.

Ramadhani alisema tangu Septemba 2 mwaka 2014 alitowa sh 110,000 ikiwemo hisa ya uwanachama mpaka sasa hawajawahi kusomewa mapato na matumizi wala kugawana kujua hisa yake atakuwa na kiasi gani cha fedha.

Robart alisema mwenyekiti wa ushirika tangu achanguliwe hajaitisha mkutano wa wanachama wa ushirika kujuwa fedha zilizopo inagwa wanao mwenyekiti amekuwa akitiwa fedha za ushirika kwenye miradi ya maendeleo ya kijiji hatujuwi ni fedha za ushirika au ni zake binafisi aliomba  serikali kuendelea kutupia jicho Ikuzi kunafeza za mapato ya ushirika na serikali yako mifukoni kwa watu.  

Katibu wa chama cha ushirika Ikuzi Stanslaus Mkwavi akitoa taarifa ya mapato na matumizi ya fedha za makusanyo ya wanaushirika na kuiomba serikali iwape leseni mbele ya Naibu Waziri wa madini.  

Mkwavi alisema mgodi ulianza mwaka 2017 na ushirika uliweka uongozi mbali mbali kwenye mgodi kupitia makusanyo ushirika umelipa mapato serikali kuu  sh 200. 88 milioni Halmashauri ya wilaya imesha chukuwa sh 150.2 milioni kijiji cha Ikuzi wamelipwa sh 100.2 milioni na chama cha ushirika kimechangia fedha kwenye miradi ya maendeleo  sh 41.5 milioni.  

Naibu Waziri wa Madini Nyongo aliiomba kamati ya ulinzi na  usalama Wilaya kupitia vyombo vyake vya uchunguzi kuchunguza chama hicho cha ushirika ikiwa inaonyesha makusanyo hayo ni ya hivi karibuni kuna mianya ya upotevu wa fedha na akaonge kuwa serikali haiwezi kutoa leseni kwenye ushirika huo hadi watakapo mariza tofauti zao na wachimbaji.

Mchimbaji wa dhahabu Juma Rashidi  alisema wanatozwa asilimia  nne  kwa washirika ikiwa hawana hata leseni ya uchimbaji wa madini na kwamba kutokana na hali hiyo inawafanya wachimbaji watoroshe dhahabu na kwamba iwapo wachimbaji watapunguziwa asilimia hakika hakuna utoroshwaji wa dhahabu kabisa.

Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba alisema atasimamia maelekezo ya serikali na kuhakikisha ushirika unafata tamko la serikali nakwamba wanaushirika wahakikishe wanafanya mkutano wa chama mapema.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa