• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

NMB yaungana na wadau wengine kujenga Zahanati.

Imewekwa: August 29th, 2019


Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Bukombe Mkoani Geita Andrew Msonga alikabidhi mifuko 10 ya saruji yenye thamani ya Tsh 190,000 baada ya kuona jitihada za serikali ya Wilaya  kuweka kambi ya siku mbili katika Kijiji cha Nampalahara Kata ya Busonzo kwa ajili ya kusimamia ujenzi wa Zahanati

.Msonga alisema amefikia hatua hiyo baada ya kuona jitihada za wadau wengine kama Mhe Doto Biteko na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba pamoja na Wananchi wa Nampalahara kwa namna wanavyojitolea ili kujiletea maendeleo wenyewe.


Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba alisema ziara yake ya siku mbili ya kusukuma shughuli za maendeleo kwa wananchi na viongozi wa serikali ya Kijiji na Kata kwa kujenga Zahanati ambayo ujenzi wake ulikuwa umelega lega tangu mwaka 2016.

Nkumba alisema hayo wakati akipokea matofari 4000 yenye thamani ya sh 4.8 milioni na mifuko 50 ya saruji yenye thamani ya sh 950,000  kutoka kwa Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto Biteko kwa lengo la kuunga mkono nguvu za wananchi.

Nae Diwani wa Kata ya Busonzo Mhe Safari Nikas Mayala alisema Kata ina vijiji vitano vitongoji 24 lakini hakuna Zahanati wala Kituo cha Afya hali ambayo imekuwa ikipelekea wananchi kutembea umbali mrefu zaidi ya kilomita 18 kutoka Kijiji cha Nampalahara kwenda Kituo cha Afya Uyovu huku wengine kutoka katika kijiji cha Idoselo wakilazimika kutembea kilomita 24 kwenda kutafuta huduma hiyo ya Afya kwenye Kata jirani ya Uyovu.

 wa kijiji cha Nampalahala Zakia Jemes  alisema wananchi wanateseka zaidi ya miaka 20 hali ambayo imekuwa ikiwafanya wanawake kuzalia njiani. "naishukuru serikali kwa kuja hapa kwa  siku mbili kusimamia ujenzi huu utatusaidia kukamilika kwa haraka kwa ujenzi huo na hatimae kuanza kupata huduma hiyo hapa karibu"Alisema Zakia.


Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akimshukuru Meneja wa NMB Tawi la Bukombe Andrew Msonga kwa mchango wake wa mifuko 10 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Nampalahara.




Wananchi wa Kijiji cha Napalahara wakishusha saruji iliyoletwa na  Meneja wa NMB Tawi la Bukombe Andrew Msonga ikiwa ni mchango wake kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati.

Diwani wa Kata ya Busonzo Mhe Safari Nikas Mayala akipokea mifuko 10 ya saruji kutoka kwa Meneja wa  NMB Tawi la Bukombe Andrew Msonga.



Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akishiriki katika ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Nampalahara.



Meneja wa NMB tawi la Bukombe Andrew Msonga akishiriki katika ujenzi wa Zahanati.





Hatua iliyofikiwa katika ujenzi wa Zahanti ya Kijiji cha Nampalahara uliosimamiwa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba baada ya kupiga kambi kwa siku mbili

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WAPATIWA MAFUNZO

    April 29, 2025
  • Tazama zote

Video

WANAWAKE BUKOMBE WASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA AMALI DOTO BITEKO.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa