• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • M.M.M |
    • Barua pepe |
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL
BUKOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Utawala na Utumishi
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara ya Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Kilimo na Umwagiliaji
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Mipango,Ufuatiliaji na Takwimu
      • Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu
      • Idara ya Ardhi na Maliasili
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii
      • Idara ya Ujenzi na Zimamoto
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha TEHAMA
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Mifugo na Uvuvi
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Elimu,Afya na Maji
      • Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
      • Ratiba ya Vikao vya Madiwani
  • Miradi
    • Itakayotekelezwa
    • Inayoendelea
    • Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Waaswa Kuacha Kujichukulia Sheria Mkononi

Imewekwa: February 6th, 2020


 Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba akihutubia wananchi na watumishi wa mahakama mkoa wa Geita siku ya maadhimisho ya wiki ya sheria. 



Mkuu wa Mashtaka Mkoa wa Geita Bibiana Kileo akisoma taarifa ya utekelezaji wa sheria mahakamani.



Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Geita Obadia F. Bwegoge akisema waliyoyafanya na changamoto.

Mawakili wa kujitegemea na mawakili wa serikali na watumishi wengine wa mahakama wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi.


Wandesha Mashtaka wa Serikali na Mawakili wa kujitegemea wakiwa kwenye picha ya pamoja na Meza Kuu.



Kamati ya Usalama Mkoa wa Geita na Viongozi mbalimbali wa Serkali wakiwa na mgeni rasmi katika picha ya pamoja baada ya maadhimisho ya wiki ya sheria kimkoa.



Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Mh. Said Nkumba na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Geita Obadia F. Bwegoge wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi waliohudhuria kwenye viwanja vya maadhimisho ya wiki ya sheria.


Wananchi Mkoani Geita wametakiwa kuachana na tabia ya kujichukulia sheria mkononi wanapowakamata waharifu bali washirikianane na vyombo vinavyosimamia sheria.

Rai hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Bukombe Said Nkumba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Geita Robert Gabriel katika maadhimisho ya Wiki ya sheria Ki mkoa yaliyofanyika katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya ya Geita.

Nkumba amesema kauli mbiu ya maadhimisho ya Wiki ya sheria 2020 ni "UWEKEZAJI NA BIASHARA: WAJIBU WA MAHAKAMA NA WADAU KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA UWEKEZAJI"  na ili kufikia malengo hayo wananchi wanapaswa kuwa wazalendo  kwa kuishi kwa kuheshimu sheria.

Kwa upande  Mkuu wa Mashtaka Mkoa wa Geita Bibiana Kileo alisema kupitia mabadiliko ya sheria ambayo yametoa nafasi ya kumaliza kesi za jinai kwa njia ya makubaliano ya kukiri
Kileo amesema kupitia mahakama ya hakimu mkazi wameendesha jumla ya kesi 13 ikiwa kesi 10 niza uhujumu uchumi na kuokoa fedha Tsh bilioni 2 kutoka kwa washtakiwa 101 ambao mpaka sasa wako huru.

Aidha Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Geita Obadia F. Bwegoge alisema kutokana na kutokua na Mahakama kwa baadhi ya Wilaya ikiwemo Mbogwe na Nyah'gwale  wananchi wanalazimika kufuata huduma hizo kwenye Wilaya jirani.

Bwegoge alisema kupitia changamoto hizo aliwahakikishia wananchi kuwa mwaka huu Mahakama zitaanza ndani ya Wilaya hizo katika majengo yatakayokuwa yametengwa na serikali kwa ajili ya Mahakama.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10 February 10, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 23, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA 10% October 07, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DC MURAGILI AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE ROBO YA TATU (Januari-Machi 2024/2025)

    May 08, 2025
  • WANANCHI WAJITOKEZA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • DC MURAGILI AHAKIKI TAARIFA ZAKE KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    May 05, 2025
  • MAADHIMISHO YA MEI MOSI MKOA WA GEITA.

    May 02, 2025
  • Tazama zote

Video

Mkutano wa baraza la madiwani kwa kipindi cha robo ya 3 kwa mwaka 2024/2025
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mfumo wa Bajeti(Planrep)
  • Mfumo wa Fedha Vituo vya kutoa huduma(FFARS)
  • MTUHA
  • Maktaba ya Picha
  • Ramani ya Bukombe
  • Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Tovuti Muhimu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Idara Kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti Kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Ushirombo

    Sanduku la Posta: S.L.P 02

    Simu ya Mezani: 028 2520704

    Simu ya mkononi: +255 (0) 622 295619

    Barua Pepe: ded@bukombedc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • M.M.M
    • Mpangilo wa Tovuti
    • Service

Hatimiliki(c) 2017 Halmashauri ya Bukombe. Haki zote zimehifadhiwa